Kanye West Amekusudia Kuizika Bifu yake na Drake, Amtumia Ujumbe Huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kanye West amekusudia kuizika bifu yake na Drake, amemtumia ujumbe mzito akimuomba aungane naye wafanye tamasha la pamoja Disemba 7 mwaka huu kwa lengo la kumsaidia Larry Hoover aachiwe huru toka gerezani ambapo anatumikia kifungo cha maisha toka mwaka 1973.



HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL APP, DOWNLOAD HAPA UWE NAYO KWA SIMU YAKO..USIPITWE


YE alituma ujumbe huo akiwa na J. Prince ambaye ni godfather wa Drake, akisema;
"Nimetengeneza video hii kuzungumzia yote yanayo endelea kati yangu na Drake. Wote sisi tumekuwa tukitupiana maneno na sasa ni muda wa kumaliza tofauti zetu. Ninamuomba Drake aungane na Mimi Jukwaani mnamo Disemba 7 Jijini Los Angeles kama mgeni maalum kwa ajili ya kuziunganisha album mbili bora za mwaka kwa lengo kuu la kupaza sauti za kumuacha huru Larry Hoover." amesema Kanye West.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad