Masha Love Afunguka Kutudanganya "Sijafanya Sajari Wala Nini Nayapenda Matiti yangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanadada Masha Love ambaye amejizolea umaarufu mkubwa Bongo kutokana na matiti yake kwa kuyaachia wazi bila kuyavalia kitu ndani, ameweka wazi kuwa, hajafanya upasuaji (sajari) ya mwili wake kama wengi walivyoamini.

Masha anasema kuwa, hakufanya hivyo alivyosafiri hivi karibuni kwenda Uturuki kwa sababu anayapenda
mno matiti yake.

Katika mahojiano maalum na Gazeti la IJUMAA, Masha Love anasema kuwa, yupo vizuri na anamshukuru Mungu kwa sababu kila kitu kwake kinakwenda sawa na anajipenda mno kwa kila hatua anayopiga kwenye maisha yake.

Anasema kuwa, anakwenda kuwa mmoja wa wanawake warembo Bongo, wanaojielewa na wenye pesa ndefu mjini.

🗣“Sijafanya sajari wala nini, napenda matiti yangu na sijafanya chochote, najipenda mwenyewe na ninajiamini sana maana najua huko mbeleni nitakuja kuwa mtu mmoja mwenye pesa ndefu sana, watu wakae kwa kutulia,”
anasema Masha Love aliyezaa mtoto mmoja na Dokta Kumbuka kabla ya kumwagana.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad