Ticker

6/recent/ticker-posts


 

TETESI: Kocha mkuu wa Yanga Nabi ametishia kuondoka klabuni hapo Kisa Kuingiliwa Majukuna na Cedric Kaze

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREImearifiwa kuwa si mara moja au mbili suala hili kujitokeza klabuni hapo tangu Cedric Kaze ajiunge na Wananchi na mara ya mwisho ni katika mchezo wao wa juma lililopita dhidi ya Namungo ambapo kaze alikutwa akiwapa wachezaji majukumu tofauti na Maelekezo ya mwalimu Nabi ambayo pia ni kinyume na utaratibu wa kiutendaji


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments