Master Jay "Diamond Platnumz Hajamsaidia Mtu ile ni Biashara Ndio Maana Kuna Contract sio Lazima Mtu Akuabudu"Maneno ya producer mkongwe nchini, @masterjtz juu ya kile kinachosemwa na watu kuwa alicho kifanya @diamondplatnumz kwa @harmonize_tz ni msaada.

Lakini pia namna Diamond ambavyo amekuwa akiona halipwi fadhila na Konde Boy.

Master J amedai anachofanya Diamond si msaada ila ni biashara ndio maaana waliandikiana contract ,na hata kqma ungekuwa msaada basi haimaanishi mtu aje kukuabudu.đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad