Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mobetto na Rick Ross ni Marafiki tu Hakuna Mapenzi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Tangu mobetto aanze kuzushiwa kuwa anauhusiano na Rickross, amekuwa akikana sana na mpaka sasa hajawahi kukubali kuwa anauhusiano wa kimapenzi na Rickross.

Mobetto Anachosisitiza kwa Watanzania ni kwamba yeye na Rickross wapo kibiashara tu na sio kivingine ambavyo Wabongo wanafikiria

Inawezekana kweli mobetto yuko sahihi maana Kwenda disco moja na Rickross then kushikwashikwa kote kule sio lazima wawe wapenzi. Maana sikuhizi Dunia iko mbali sana mtu yoyote anaweza akakubambia tu.

Mobetto hawezi kabisa kudate na Rickross maana wanaheshimiana kama kaka na dada na Hawakufanya lolote usiku ule, anayebisha aje na USHAHIDI.

(Fursa Kwa Wenye maduka ya nguo, kama unataka kufanya kazi na mimi check me inbox Tuyajenge Chapchap, usichukulie poa ni mchongo wa maana sana kwaajiri ya kukuza biashara yako)

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments