Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Unaponunua LUKU iingie Moja Kwa Moja Kwa Mita Badala ya Kutumia TokenMshiriki wa #StoriesOfChange ameshauri mfumo wa manunuzi ya umeme usihusishe namba za kuweka kwenye mita(Remote) ambapo mara nyingine huharibika na kusababisha usumbufu kwa wateja

Mdau huyu ameshauri kama ilivyo kwenye ving’amuzi na huduma nyingine, mtu anaponunua umeme uweze kuingia moja kwa moja badala ya kuwa na hatua zaidi ya moja


Anasema hii itasaidia ikiwa mtu yupo mbali na kwake na umeme ukakatika ambapo ataweza kuingiza umeme bila kuwepo nyumbani

 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments