Mange Kimambi Amlipua Paula "Paula Hasomi Turkey Mtaniambi Time Will Tell"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


From @mangekimambi_ Jamani sasa mna ripoti posti zangu tena? 🤣🤣🤣

Jamani eeh, kesi imeisha hiyo. Paula hasomi huko Turkey.

Mimi ni yule yule niliwaambiaga story ya mwarabu na Sarah, mkasema uwongo, mwisho wa siku Dai akaja kuiimba ndo mkaamini. Mi ni yule yule niliwaambiaga kuw Harmo na Wolper wameachana na kwamb Harmo ako na mzungu. Wahusika wakagoma kabisaaa ila mwisho wa siku mambo yakawekwa hadharani. Mimi ni yule yule niliwaambiaga Shamim na mumewe wanauza unga mkanitukana kuwa nna wivu sababu anavaa madini. Leo Shamim na mumewe wanatumikia kifungo cha maisha. Niliwaambiaga Harmo anahama wasafi, mkabisha. Nilisema mdogo wangu amekata utumbo mkabisha na muhusika nae akagoma kabisaaaaa mpaka Wakenya walivyokuja kudai ndo mkaamini nilisema ukweli. Jamani Eeh, sinaga mambo ya kumsemea mtu uwongo na kama nikikosea huwa narudi kurekebisha habari.

Kwahiyo na hili la leo. It’s only a matter of time. Leo watabisha weeeeeeeeeeeeee Ila muda ukifika mambo yatakaa wazi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad