Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Za Ndani Kabisa, Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto Vikao VinaendeleaSiku ya jana tarehe 22/11, Mwanamitindo na msanii wa Bongo Flava, Hamisa Mobetto kupitia Insta Story yake,aliwatolea uvivu waunganisha picha na wanaombambikia kuwa anaolewa na Wanaume ambao hata hawatambui­čśü.

Hasa chukua hii Exclusive ya leo tarehe 23/11 kutokea kwa Member wa TOO MUCH MONEY­čśü, @mwijaku_01 ambaye amefunguka kuwa Hamisa Mobetto na mfanya biashara, Fred Vunjabei ni watu ambao wako kwenye hatua za mwisho kukamilisha suala lao la ndoa. Akiwa kwenye LEO TENA ya Clouds Fm Mwijaku amedai ana hadi meseji za vikao vinavyoendelea kuhusiana na jambo hilo.

By @sajomedia

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments