Harmonize, Briana Watanua na Ndinga la Sarah

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




DESEMBA mwaka jana, aliyekuwa mke wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul almaarufu Harmonize, Sarah
Michelotti alimtaka jamaa huyo amrudishie gari lake aina ya Audi alilompa enzi za penzi lao shatashata.


Sarah alikwenda mbali zaidi na kueleza kwamba, gari hilo ni lake na kwamba ndiye aliyelinunua, lakini Harmonize au Konde Boy Mjeshi hakuonesha kutikiswa na jambo hilo.


Hata hivyo, habari mpya ni kwamba, kwa sasa jamaa huyo na mpenzi wake mpya aitwaye Briana wanatanua na gari hilo, jambo linaloibua minong’ono kwa mashosti wa Sarah wakimtaka akalichukue gari lake.


Katika kuthibitisha hilo, Gazeti la IJUMAA lilifika nyumbani kwa Harmonize maeneo ya Mbezi- Beach jijini Dar na kuthibitishiwa kwamba jamaa huyo alikuwa ametoka na mpenzi wake huyo kwenda kwenye misele yao wakilitumia gari hilo lenye rangi ya kijani.


 

Ikumbukwe kuwa Harmonize na Sarah walifunga ndoa September 2019 zikiwa ni siku chache tu baada ya msanii huyo kujitoa kwenye lebo ya Wasafi, walifunga ndoa baada ya kuwa kwenye mapenzi kwa zaidi ya miaka miwili.
Hata hivyo, mwaka 2020; mwaka mmoja baada ya kubadilishana kwa viapo, ilitangazwa kuwa wenzi
hao walikuwa wametengana kwa sababu ya tofauti zisizoweza kusuluhishwa ikiwemo kutuhumiana kuwa na uhusiano wa watu wa nje huku meseji zikinaswa walivyokuwa wanabadilishana taarifa na michepuko.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad