Ticker

6/recent/ticker-posts

Unaambiwa Salum Aboubakary ‘Sure Boy’ amejiunga rasmi na mabingwa wa kihistoria Young Africans S.C


Kutoka kusomea ufundi wa magari hadi kuwa kiungo fundi kwenye soka, Salum Aboubakary ‘Sure Boy’ amejiunga rasmi na mabingwa wa kihistoria Young Africans S.C.

Sure Boy alivunja mkataba wake na Azam FC baada ya kusimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na makosa ya kinidhamu.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments