Ticker

6/recent/ticker-posts

Mama Samia "Kuna Makundi Ndani ya Serikali ya Awamu ya Sita Wanasema Ufisadi Umerudi"


"Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya Serikali, ni makundi hayohayo yanageuka kusema Serikali ya Awamu ya Sita ufisadi umerudi, mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo na mambo yale hayakufanyika ndani ya Awamu ya Sita, yalifanyika huko nyuma gari bovu linaangushiwa Awamu ya Sita, sitakubali, sitakubali, niliapa kusimamia haki za Wananchi nitasimama nao nitasimama kutetea haki za Wananchi sitakubali"———Rais Samia akizindua maboresho ya gati (0-7) Bandari ya Dar es salaaam

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments