Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Maskini Babu Tale..Afunguka Tena Kuhusu MKE "Uzee bila Mwenza ni mtihani"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


 Maneja wa Diamond na Mbunge Morogoro Ameandika haya :

"Siku tatu zijazo yaani tarehe 31/12/2021, naenda kutimiza miaka 40 kwa uwezo wake Mola inshallah.

"Ila kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu nitaitimiza miaka 40 bila mke, lakini nina watoto wanne (4).

"Uzee bila Mwenza ni mtihani ila bado nasubiri wakati wa Mungu ufike ndipo nitakapo fanya maamuzi.

"Kuhusu majiamoto bafuni nitaweka hita au jiko la mkaa .

"Asante Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunipa uimara, naomba uendelee kunipa nguvu ya kulitumikia jimbo letu la Morogoro Kusini Mashariki na kulilinda kwa mikono yako, maana matarajio ya kazi nitakazozifanya Mwaka ujao, Mungu pekee ndiye anajua inshallah.

"Mungu awabariki. Naanza kupokea zawadi ndugu zangu" ✍️@babutale

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments