Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mlemavu, Ombaomba Ajenga Nyumba Mbili za Zaidi ya Tsh Mil 100

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMary Stephano ni mlemavu wa miguu ambaye shughuli yake kubwa ni ombaomba, kazi anayoifanya katikati ya jiji la Mwanza.
Mary amesema katika kazi hiyo ambayo anaendelea kuifanya amefanikiwa kujenga nyumba mbili (na zenye wapangaji zaidi ya 20), kununua viwanja vitatu na kufungua Bar, kusomesha mtoto wake katika chuo cha uhazili Tabora.

Mary ni mama wa watoto wanne (wakike mmoja) ambao wote aliwapata na baba tofauti, mme wake anayeishi nae kwa sasa ana watoto 12 ambao na yeye aliwapata kwa mama tofauti kabla ya kukutana na mama huyo.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

1 Comments

Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)