Haya ndo Madhara ya Kufanya Ngono Kwa Kutumia Mdomo...Wazee wa Chumvini Mpo Hapo?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Kuna zaidi ya aina 100 za virusi wa Human papilloma huku aina 14 kati yake zikiwa na uwezo wa kusababisha aina mbalimbali za saratani mfano saratani ya koo, mlango wa kizazi na koromeo.


Mbali na saratani, Virusi vya Human papilloma vinaweza pia kusababisha athari zingine kwa afya ikiwemo masundosundo (warts) kwenye sehemu za siri na midomo.


Aidha Usambazwaji wake na kuambukizwa kwa mtu kunaweza kutokea kwa mtoto wakati mama anajifungua, pia kupitia aina mbalimbali za ngono (Uke, mdomo au sehemu ya haja kubwa). Kutokana na uwepo wa ngozi laini inayounda kinywa pamoja na sehemu ya nje ya midomo, watu wanaoshiriki ngono ya mdomo wanakuwa kwenye hatari kubwa ya kuambukizwa virusi hawa ambao huleta shida ya masundosundo.


Dalili za ugonjwa huu zinaweza kuonekana baada ya wiki kadhaa, miezi au hata baada ya mwaka. Huu ni wakati ambao mhusika hataweza hata kukumbuka ni nani amesababisha yeye augue, hasa kama anao wapenzi wengi. Hii ni kwa jinsia zote

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad