Julia Fox Afunguka "Siko na Kanye West Kwa Ajili ya Pesa..Natembea na Mabilionea tu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mrembo Julia Fox ambaye yupo katika mahusiano na Kanye West kwa sasa hivi amewajia juu watu wanaomshambulia yupo kwa Kanye kwa ajili ya pesa na umaarufu.
“Inafurahisha sana watu wakiniongelea nipo kwa Kanye West kwa ajili ya kutafuta umaarufu na pesa, wakati katika maisha yangu yote nikiwa mtu mzima nimekuwa nikitembea na mabillionea tu, acha niwe muwazi.”

Julia amefunguka hayo katika podcast yake ya “Forbidden Fruits” na kutaja list ya watu aliokula nao bata kama Madonna, Antonio Brown na Floyd Mayweather.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad