Khadija Kopa "Nachojua Mwanangu Zuchu Kashalipiwa Magari"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BI KHADIJA Kopa ni Malkia wa Taarab Afrika na ni mama wa malkia mwingine wa Bongo Fleva, Zuchu ambaye amesainiwa kwenye Lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz anayesemekana ni mpenzi wake kwa sasa na
wanapanga kufunga ndoa.

Mapema tangu asainiwe kwenye lebo hiyo, siku ile ya Aprili 8, 2020, kulianza kusikika tetesi kuwa huwenda Zuchu akawa na uhusiano wa ziada; yaani zaidi ya kazi na Diamond.

Hii ni kwa sababu wawili hao wamekuwa na ukaribu wenye viulizo hasa baada ya kunaswa hotelini mwezi uliopita huku Bi Khadija akisema tayari Zuchu amelipiwa mahari bila kutaja mtu aliyemlipia.

Kauli hiyo ya Bi Khadija inakuja siku chache baada ya Zuchu kuthibitisha kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu aliyempatia zawadi ya mdoli mkubwa.

“Mimi sina taarifa kwamba anaolewa na Diamond, lakini ninachojua tayari (zuchu) amelipiwa mahari...”

Anasema Bi Khadija bila kutaja ni mwanaume gani aliyemlipia Zuchu mahari.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad