Ticker

6/recent/ticker-posts

Matokeo ya Kidato Cha Nne Yametoka..Yasome Hapa


Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo kidato cha nne ambapo Watahiniwa wa Shule 422,388 (87.30%) kati ya Watahiniwa 483,820 wamefaulu Mitihani yao "ongezeko la ufaulu ni 1.46% ikilinganishwa na mwaka 2020"

"Wasichana waliofaulu 218,174 (85.77%) na Wavulana wapo 204,214 (89.00%)"———Katibu Mtendaji NECTA, Dkt. Charles Msonde

Soma Matokeo HAPA

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments