Mwijaku Atamani Kuchukua Nafasi ya Ndugai, Watanzania Wambeza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Story Kubwa inayotrend kwasasa ni suala la Mwijaku kuchukua Fomu ya kuwania Cheo cha Uspeaker Wa Bunge.

Raia wamecheka sana aisee, hawakutegemea kama mwijaku anaweza chukua form hiyo. Sababu kuu za kumcheka mwijaku bado hazijajulikana lakini niwaambie tu sio vizuri watanzania wanachokifanya. Niwathibitishie tu kwamba, mwijaku kajipanga na ameona kabisa anafaa nafasi hiyo ndio maana ameamua Kuchukua form hiyo.

Tatizo Watanzania huwa wanaona Machawa kama hawanaga akili vile, mwijaku kuwa chawa wa Alikiba au Harmonize sio kwamba hana akili, jamaa anajielewa yule. Tumuombee mema tu, wakuu wa chama wakiona anafaa atapita, wakiona hafai basi sio bahati yake.

Unakuta mtu hajawahi kuwa hata Monitor wa La tatu B halafu anapata nguvu ya kumponda mwijaku.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad