Unaambiwa Aliyekutwa Katika Tairi la Ndege Uholanzi ni Mkenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Maafisa wa polisi wa Uholanzi wamethibitisha kwamba mtu aliyekutwa katika tairi la ndege katika uwanja wa ndege wa Schipholni raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 22.

Anapanga kuwasilisha ombi la kuchukua hifadhi nchini Uholanzi.

Mtu huyo alipatikana akiwa hai na kuwa na uwezo wa kuzungumza.Kwasasa anapokea matibabu katika hospitali moja.

Alikutwa katika tairi la ndege ya Cargolux baada ya ndege hiyo kusafiri kutoka Johhanesburg hadi nchini Uholanzi kupitia Nairobi Kenya.


Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uholanzi aliambia BBC , inatarajiwa kwamba ataomba hifadhinchini Uholanzi , lakini kwasasa hali yake ya kiafya ndio muhimu.

Sio kawaida kwa stowaway katika safari za mwendo ,mrefu kukutwa wakiwa hai, kutokana na baridi kali na upungufu wa hewa ya oksijeni angani.

Maafisa wa polisi wa Uholanzi wanachunguza iwapo alijificha katika tairi hilo akiwa nchini Afrika kusini au Kenya.


Katika kipindi cha miaka mitano , watu saba waligunduliwa katika ndege hizo za Uholanzi na ni wawili pekee waliokutwa wakiwa hai.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad