Huddah "Sasa Nahitaji Sugar Daddy Maisha ni Bandia Pesa Hazikai"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA






MREMBO staa wa mitandaoni wa Kenya, Huddah Monroe amekiri kwamba sasa amechoka kugharamia bili zake mwenyewe hivyo anahitaji sugar daddy (mwanaume mtu mzima) wa kumuhudumia.


Huddah amedai kwamba amechoka kutafuta pesa kwa bidii akitarajia kuziweka ila badala yake anaishia kuzitumia kwa mahitaji yake binafsi.


“Kwa wakati huu nahitaji sugar daddy! Ni nini hii? Unatengeneza pesa kisha unazitumia! Ni nini hii, nilidhani unatengeneza pesa ndiyo uziweke…


“Nilipoanza kufanya kazi nilidhani pesa hizo zitakaa kwenye akaunti. Sikujua lazima utumie pesa ili kutengeneza pesa nyingine. Maisha ni bandia,” anasema Huddah ambaye pia ni video vixen maarufu Afrika Mashariki.

STORI: KHADIJA BAKARI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad