Serikali Kuja na Mpango Mkakati Kukomesha Mauaji Nchini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Serikali imesema inaandaa mpango mkakati maalum wa kusaidia kukomesha mauaji ya watu mbalimbali yanayoendelea nchini.

Kauli hiyo ya Serikali imekuja wakati kukiwa na matukio ya watu kuuliwa kikatili maeneo mbalimbali.

Haya yamesemwa leo  Alhamisi Februari 3, 2022 Bungeni na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Iringa, Jeska Msambatavangu

Akiuliza swali la nyongeza mbunge huyo alitaka kujua mkakati wa Serikali kukomesha mauaji.

Akijibu swali hilo, Dk Gwajima amesema tayari wameanza kupeleka muongozo  kwa viongozi wa Vijiji kwa kutoa elimu na kuwekeana mkakati maalumu.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad