Baba Leo Atoa Mpya "Kajala Usikubali Kumrudia Harmonize"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baba Levo ni msanii chawa na kibaraka wa Diamond Platnumz na wasanii wote chini ya Lebo ya WCB.

Baba Levo amekuwa ni mwandani wa karibu zaidi wa Diamond kiasi kwamba amechukua ugomvi baina ya Diamond na Harmonize kuwa wake sasa dhidi ya Harmonize ambaye ni mbaya wa bosi wake.

Baada ya Harmonize kuandika kwenye Insta Stories zake akimtaka Kajala kumsamehe na kumrudia ili waendelee kulisukuma gurudumu la mapenzi, baadaye Baba Levo amejitokeza wazi na kumtaka Kajala asikubali hata kidogo.

Baba Levo ameposti picha Kajala kwenye Instagram yake na kuandika; “Usikubali!”
Itakumbukwa baada ya habari kuzagaa kwamba Harmonize kipindi kile akiwa katika uhusiano na Kajala alijaribu tena kumvizia mwanawe Paula ambaye wakati huo bado ni mpenzi wa msanii Rayvanny, Baba Levo alimchamba Harmonize kwa maneno makali mpaka kuachia ngoma ya kumtukana Harmonize.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad