Damian Sol Awakosoa BASATA " Acheni Kujichoresha Mnaonekana Viazi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada Ya Siku Ya Jana @basata.tanzania Kutangaza Rasmi List Ya Wasanii Wanaowania Tuzo Za Muziki Tanzania (TMA) Msanii @damiansoulmusic Akionekana Kuwa Kwenye Kipengele Cha Msanii Chipukizi Jambo Ambalo Limeibua Camments Tofauti Tofauti Kutoka Kwa Wadau Mbalimbali Ambazo Zikieleza Wazi Kuwa Msanii Huyo Amekosewa Kuwekwa Katika Kipengele Hicho.


Sasa #DAMIAN Naye Ameamua Kuliongelea Jambo Hilo Ambapo Kupitia IG Yake:

Ameandika..............."ZAMA ZA GIZA ZIMESHA ISHA! ACHENI KUJICHORESHA MNAONEKANA VIAZI. MNAWAKOSEA HESHIMA HATA MABOSS ZETU AMBAO NI WANANCHI WANAONUNUA NA KU SUPPORT KAZI ZETU. NIDHAHIRI HAKUNA TAFITI ZIMEFANYWA WALA HAKUNA WEREDI KWENYE HIZI TUZO @basata.tanzania Sanaa iheshimiwe na miziki ya Kweli iende mbele''


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad