3/16/2022

Lukamba Katika Tuhuma Nzito ya Kumblock Mtoto Wake Instagram


Baby mama wa mpiga picha maarufu wa mwanamuziki Diamond Platnumz @lukambaofficial ameingia kwenye tuhuma za kumfuta urafiki na kum block mtoto wake katika mtandao wa Instagram ,tuhuma zilizo ibuliwa na baby mama wake @shuu_mimi .


Tuhuma hizo zimeibuka muda mchache baada ya mpiga picha huyo kueleza kupitia kipindi cha mashamSham ya Wasafi FM, kuwa mama wa mtoto wake amemblock yeye pamoja na mtoto wake, huku akifuta utambulisho wa yeye kuwa baba wa mtoto wake huyo.
HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger