3/17/2022

Maskini Kina FID Q Huenda Wakagonga Mwamba Kwa Kumteaua Steve Nyerere Kuwa Msemaji wa Wanamuziki
Maskini Steve Nyerere
Wasanii Wa BongoFlava Wapinga Uteuzi Wake wa Kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote Tanzania
Wasanii Wasema Wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji

Jana Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania Lilimtangaza Muigizaji na Comedy Artist Maarufu kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote kupitia Shirikisho hilo ambalo Rapper Fid Q Ni katibu Mkuu wake
Leo Viongozi wa Shirikisho Hilo walikua ndani ya Kipindi Maarufu cha XXL pale CloudsFm, Idadi kubwa ya wanamuziki waliotoa maoni yao kuhusiana na Uteuzi huo Wameonekana kutokua na imani na Steve kwa kigezo kuwa Haujui Muziki wa Tanzania na nafasi hiyo inamfaa mtu ambae yupo Deep na Muziki, Wasanii waliopinga ni pamoja na Nay Wa Mitego, Adam Mchomvu, Q Chief, Afande Sele, Na Mtangazaji Fetty
Wengi wao wamependekeza Mchakato Urudiwe ili apatikane mtu sahihi wa kuwasemea wanamuziki


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger