3/08/2022

Mayele Azidi Kujazwa Ng'ombe Mikoani..Apewa Mwingine Mnono...Bumbuli Ataja na MadafuMSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Yanga, Fiston Mayele akiwa ametupia mabao 10 kibindoni na pasi tatu za mabao amekabidhiwa zawadi ya ng’ombe mwingine tena baada ya ile ya kwanza kupewa alipokuwa Moro alipowatungua Mtibwa Sugar.
Pia Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wengine wamepeleka samaki,madafu pamoja na zawadi mbalimbali.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger