Mbowe Afunguka "Rais Samia Suluhu Alinipa Heshima ilinibidi niweke Uchungu na Maumivu Binafsi Pembeni"


"Kesi yetu ilipofutwa nilipokea ujumbe wa Mheshimiwa Rais, Mama Samia kutaka tuonane haraka iwezekanavyo, kwa sababu mbalimbali, niliridhia. Kwanza, binafsi na chama chetu tumetafuta fursa hiyo tangu awamu iliyopita.

Nilipopata mwaliko siku ile ile nimetoka gerezani, nikathibitisha nitakwenda. Kamwe sikuruhusu uchungu na maumivu binafsi vinipe upofu na kiburi cha kutokuiona heshima niliyopewa na Rais [Samia Suluhu]."

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe katika kongamano wa BAWACHA, Iringa
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA



 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad