Ticker

6/recent/ticker-posts

Nyoka 'Mnywa uji' Asakwa

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>Juhudi za kumuondoa Koboko ‘Nyoka mnywa uji’ maeneo ya Mlimani City Luanzari Manispaa ya Tabora limeanza chini ya uangalizi wa askari wa maliasili.


Jina la ‘nyoka mnywa uji’ lilianza baada ya jaribio la mganga wa kienyeji kumkamata nyoka huyo kwa kutumia uji kushindikana, huku akisema nyoka aliingiza kichwa kwenye chungu cha uji wa moto tangu hapo watu wakaanza kusema nyoka kanywa uji wa moto na huo ndio ukawa mwanzo wa jina hilo.

Uwepo wa nyoka huyo katika eneo hilo umesimamisha shughuli za uchumi na kukwamisha ujenzi uliokua ukiendelea jirani na mti huo na mafundi ujenzi wamekataa kufanya kazi katika eneo hilo kwa hofu ya nyoka huyo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments