Ticker

6/recent/ticker-posts

Urusi Yaridhia Wanafunzi wa Kitanzania Kutoka Ukraine

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>


Balozi za Tanzania za Stockholm Sweden na Moscow, Urusi zimesema Serikali ya Urusi imeridhia Wanafunzi wa Kitanzania waliokwama kwenye Mji wa Sumy nchini Ukraine watumie mpaka wa Urusi ambao ndio upo karibu zaidi na Mji huo.

Zoezi la kutoa Wanafunzi wote kutoka Sumy hadi mpaka wa Urusi litaratibiwa na Serikali ya Urusi na tayari imeanza mpango wa utekelezaji, Wanafunzi wakifika mpakani, Ubalozi wa Tanzania nchini Urusi utawapokea kwa taratibu zingine za kurejea nyumbani.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments