4/23/2022

Barbara Gonzalez Afunguka Hali ya Simba South Africa "Tumenyimwa Tena Ulinza Wakati wa Mazoezi Ila..."


Safari ilienda vizuri, wachezaji wote wapo salama. Changamoto pekee tuliyokutananayo ni ya kiusalama, timu inapofika ugenini kitu cha kwanza ni ulinzi na usalama. Tulinyimwa escort wakati tunawasili kwenda hotelini na tumenyimwa tena escort wakati tunaenda mazoezini

Tukaamua kupambana kwa kushirikiana na wadau akiwemo Balozi wa Tanzania na tumeamua kukodi gari la ulinzi. Lazima uwe na ‘Plan B’ kwa hiyo kama klabu tumefanikiwa kwa yale ambayo tulikuwa tumepanga kufanya tukiwa huku.

Tunataka kufuzu, kama tutapata matokeo ya sare au ushindi japo hatujui mwalimu amepanga nini, kwenye eneo hilo tumemwachia yeye.

- Barbara Gonzalez [@bvrbvra], Mtendaji Mkuu Simba

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger