Diamond Platnumz Katika Dimbwi Zito la Mapenzi "Wewe ni Wangu wa Kwanza na wa Mwisho"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Huku mwezi mtukufu wa Ramadhan tayari ukiwa umeng'oa nanga kirasmi, staa wa Bongo Diamond Platnumz amepokea zawadi maalum kwa msimu huu kutoka kwa mchumba.

Mwanamuziki huyo anayeshabikiwa sana kote duniani alipakia kanda za video zilizoonyesha vitu vya sala na zawadi zinginezo kochokocho ambazo alidokeza kanunuliwa na mpenzi wake ambaye hajatambulishwa.

"Aleykum my habiby, msala huu mzuri nimekupa leo ikuwe ishara na ukumbuhi kwamba Sulah si kwa ajili ya Allah, Salah ni kwa ajili yako yetu sababu sisi tunamhitaji yeye kukiko anavyotuhitaji sisi. Duniani mithili yako hakuna na peponi. Tukakutanishwe tena. Nakupenda Rouny," Jumbe ambazo ziliambatanishwa na zawadi hizo ulisoma.


Diamond alizamia kwenye ukurasa wake wa Instagram kumsifia mchumba wake kwa makubwa aliyomfanyia. Alionekana kuridhishwa sana moyoni na mpenzi huyo wake wa sasa.

"Kumpata anayekupenda ni jambo moja, ila kumpata atakayekuelewa na kukupa unachotaka ni jambo lingine kabisa," Diamond alisema.

Baba huyo wa watoto wanne wanaojulikana aliendelea kuhakikishia kipenzi chake kwamba anampenda sana.

"Simba anakupenda sana.. Wewe ni wangu wa kwanza na wa mwisho," Alisema.


Haya yanajiri huku uvumi wa harusi ya mwanamuziki huyo na mchumba huyo wake ukiwa unaendelea kusambaa kote mitandaoni.

Mamake Diamond ameendelea kumshinikiza afunge pingu za maisha na mpenzi huyo wake baada ya mwezi wa Ramadhan. Mama Dangote ameonekana kuridhishwa na mkaza mwana huyo wake mpya.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad