Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>
Habari mbaya kwa Diamond Platnumz na mashabiki wake kwa ujumla, channel ya youtube ya Diamond Platnumz imedukuliwa tena (hacked) ikiwa ni mara ya pili tangu lifanyike tukio hilo siku ya jumapili.
Channel hiyo yenye jumla ya Subscribers 6.6M imedukuliwa na kupandishwa maudhui ya kampuni ya magari TESLA inayomilikiwa na tajiri Elon Musk ambaye pia ameingia LIVE kwenye channel hiyo.
Aidha, channel hiyo ya Diamond kwasasa imebadilishwa jina na wadukuzi hao pamoja na profile picture. Kwa sasa inatwa Tesla Corporation.
✍️: @omaryramsey
#
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
________________________________
Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
0 Comments