4/24/2022

Huyu Ndio Snitch Aliyemchoma ASAP Rock Mchumba wa Rihanna Mpaka Kukamatwa na Polisi


Member wa kundi la ASAP [ Always Strive And Prosper] ASAP Bari amesema anauhakika shahidi aliyetoa maelezo kwa polisi yaliyopelekea A$AP Rocky kukamatwa na kuhojiwa ni mmoja wa watu kutoka kwenye kundi lao la ASAP Mob anaefahamika kama ASAP Relli.

Haijulikani alichosema ASAP Relli kwa polisi ila ushahidi wake ulipelekea A$AP Rocky kukamatwa. ASAP Relli ni member wa ASAP Mob, ni mmiliki wa lebo ya muziki na burudani ya Shuteye Entertainment. Toka taarifa za yeye Ku-Snitch kusambaa ameweka IG Yake Private na kukaa mbali na wasanii wengine wa hiphop.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger