Kutana na Mpenzi wa siri wa Rais Putin Anayeitwa Alina Kabaeva


Anaitwa Alina Kabaeva ni mwanasiasa na mwanamichezo wa zamani wa Russia, mshindi wa medali wa Olympic, picha yenye maua alikuwa anampongeza.


Picha nyingine alikuwa anawaaga wanamichezo wa Russia waliokuwa wanaenda Olympic na picha ya mwisho mwanadada akiwa kazini, ana watoto wanne na Putin, ana miaka 38. Walikutana kwa mara ya kwanza 2003 na 2004 Putin akaachana na mke wake wa kwanza,mzee alivutiwa na Alina hiyo 2003 akajiongeza.



Marekani inapanga kumuwekea vikwazo Alina,ambaye inahisiwa anaishi Uswisi yeye na watoto wake.

Putin hataki kuongelea mahusiano yake na familia yake,anafanya siri sana,gazeti moja liliwahi kuandika kuwa Putin anataka kumuacha mkewe na kumuoa Alina lilifungiwa.Ukimuuliza kuhusu familia yake au Alina anachukia sana na anaweza kukupiga ngumi ya shingo.

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA



 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad