Ticker

6/recent/ticker-posts

Marioo "Harmonize Nilikwambia Ukabisha Verse Yangu Ndio ya Watoto"

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>Inaonekana kulikuwa na ubishani kati ya Marioo na Harmonize kuhusu ukali wa verse zao kwenye ngoma yao mpya ya naogopa kama ambavyo baadhi ya mashabiki wanaulizana nani kamfunika mwenzie kwenye hiyo ngoma.
Marioo anaeleza kuwa "Ndugu yangu Harmonize, nilikuambia kwamba hii ndo verse ya watoto wazuri ukabisha sasa ngoja uone"

Kisha Harmonize akamjibu kwamba "Sijabisha kaka mkubwa wewe tena mzee wa kujifichaficha upo kama haupo, mie washanipita wananiita bro wao wanajua nampenda nani ila ukija kihalali nadhani pale kwenye abee ndo shughuli imeisha".

Ngoma yao ipo namba moja kwenye platform ya mziki kama Apple Music na Audiomack pia ipo namba 3 on trending Youtube ikiwa na siku tatu tu baada ya kutoka.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments