4/12/2022

Masai Killy Paul Aliyejipatia Umaarufu Mkubwa Tiktok na Instagram Alamba Dili la Nguvu GSM


Killy Paul aliyejipatia umaarufu mkubwa Tiktok na Instagram kutokana na kuimba nyimbo za wasanii mbalimbali wa kimataifa hususan kutoka nchini India, amesainishwa dili la nguvu la kutangaza bidhaa za maduka ya GSM.


Aliyemsainisha ni Ommy Dimpoz anayeiwakilisha GSM.


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger