4/26/2022

Maskini Channel ya Rayvanny Nayo Yadukuliwa


Diamond Platnumz na Mbosso sasa ni habari mbaya kwa Rayvanny na mashabiki wake kwa ujumla, channel ya youtube ya Rayvanny nayo imedukuliwa.

Channel hiyo yenye jumla ya Subscribers 3.68M imedukuliwa na kupandishwa maudhui ya kampuni ya magari TESLA inayomilikiwa na tajiri Elon Musk ambaye pia ameingia LIVE kwenye channel hiyo.

Aidha, channel hiyo ya Rayvanny kwasasa imebadilishwa jina na wadukuzi hao pamoja na profile picture. Kwa sasa inatwa ARK Invest.

✍️: @omaryramsey

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger