4/30/2022

Mwijaku Aomba Radhi Watanzania Kwa Kusema Mlima Kilimanjaro Upo Arusha
kutoka kwa muhamasishaji wa kujitegemea , mtangazaji na mwanamitandao maarufu kama DC wa insta Mwijaku ametumia ukurasa wake wa instagram kuomba radhi kwa watanzania , Tanapa na serikali kwa ujumla kwa kitendo chake cha kusema mlima kilimanjaro unapatikana mkoani Arusha baada ya mkoa wa Kilimanjaro/moshi.

Mwijaku Alisema hayo alipokuwa akihojiwa na chombo kimoja Cha habari huko mkoani Arusha Alipokwenda kuhamasisha Uzinduzi was Filamu ya Royal tour 


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger