4/22/2022

Rais Samia Akutana na Baba Mzazi wa RihannaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amekutana na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty maarufu kama Rihanna.

Baba mzazi wa Rihanna ni miongoni mwa watu waliofika katika ukumbi wa Paramount Pictures, kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger