Serikali Yakataa Ombi la Ukraine la Kuhutubia Bunge la Kenya: "Msitukosanishe"Kenya imekataa ombi la Ukraine la kuhutubia bunge la Kenya, serikali ikihofia kuingizwa katika mzozo wa Ukraine na Urusi na kusambaratisha uswahiba wa Nairobi na Moscow.

Serikali Yakataa Ombi la Ukraine la Kuhutubia Bunge la Kenya: "Msitukosanishe"
Kenya imetakaa ombi la Ukraine la kuhutubia bunge lake kwa hofu ya kukosanishwa na Urusi.
Taarifa ziliibuka mnamo Jumatatu, Aprili 11, wataalam wa masuala ya kigeni wa serikali ya Kenya wakihoji kuwa tayari wamekuwa wakifanya kila wawezalo kupitia kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN).

Ukraine ambayo imekuwa ikilinda ardhi yake dhidi ya uvamizi wa Urusi iliwalisha ombi hilo mwezi Februari, vikosi vya Urusi vilipoanza mashambulizi.
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad