4/23/2022

Toka Namungo Ipande Ligi Kuu Haijawahi Kufungwa na Yanga...Michezo Yote Walitoka Suluhu....Leo Vipi?

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPATangu Namungo FC imepanda Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2019|20 imekutana na Yanga mara tano kwenye mechi za Ligi na hakuna timu yotote imewahi kupata ushindi kwa mwenzake!

Mechi nne kati ya hizo zimeshuhudia magoli yakifungwa, mchezo mmoja tu ndio ambao timu hizo zilitoka bila kufungana (suluhu).

Kwa mara nyingine Yanga na Namungo FC zinakutana leo uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa Ligi. Rekodi itavunjwa? Timu gani itakuwa ya kwanza kuandika rekodi ya kushinda kwa mara ya kwanza?

MATOKEO YA YANGA VS NAMUNGO TANGU MSIMU WA 2019|20

2019|2020
NAMUNGO FC 1-1 YANGA
YANGA 2-2 NAMUNGO FC

2020|2021
YANGA 1-1 NAMUNGO FC
NAMUNGO FC 0-0 YANGA

2021|2022
NAMUNGO FC 1-1 YANGA
YANGA ?? NAMUNGO FC
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger