4/22/2022

Ukitaka Kufanya Collabo na Snoop Dogg Bilioni Moja Itakuhusu Mtu Wangu


Unaambiwa ili kufanya kazi na rapper mkongwe kutoka code +1 marekani anko snoop @snoopdogg itakugharimu $250,000,000 Dola za kiMarekani hiyo ni kwa 60 buzz ,ambazo ni sawa na 580,500,000,000.00 Shilingi ya Tanzania na endapo utahitaji atokee kwenye video yako basi utaongeza kiasi kingine sawa na hiko ambapo ni sawa na billion 1.1

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger