Breaking News: Rais Samia Ardhia Ongezeko la Mshahara Kwa Asilimia 23.3%

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara, ikiwemo kima cha chini kwa Watumishi wa Umma kwa 23.3%. Bajeti ya mishahara mwaka 2022/23 ina ongezeko la Trilioni 1.59 (19.51%)

Katika mwaka wa fedha 2022/2023, Serikali imepanga kutumia Tsh. Trilioni 9.7 kugharamia malipo ya mishahara ya Watumishi wote katika Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Taasisi na Wakala za Serikali

Nyongeza imefanyika kwa kuzingatia Pato la Taifa (GDP), Mapato ya Ndani yanayotarajiwa kukusanywa katika mwaka 2022 / 2023 na hali ya Uchumi wa ndani na nje ya Nchi

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad