JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Goli la kiungo mshambuliaji wa Simba sc , Pape O.Sakho limetajwa katika orodha ya magoli bora yaliyofungwa msimu huu 2021/22 kwenye kombe la Shirikisho CAF.
Kutoka katika ukurasa rasmi wa CAF (twitter) wame-post magoli bora yaliyofungwa msimu huu huku la Sakho likiwa la kwanza kwenye orodha hiyo.
0 Blogger:
Post a Comment