5/06/2022

Haji Manara Hana Dogo, Ampa Kichambo Msemaji wa Simba Baada ya Kusema Ligi Kuu ni Dhaifu


Ameandika hajismanara
"Kama ligi yetu ni dhaifu why team yako isiwe inaongoza wakati imetoka kumfunga Orlando na Berekane wanaocheza hizo ligi ngumu?

Au tuamini yale maneno ya Team ngeni zinazokuja kucheza na nyinyi,,ya kwamba mnawawekea mifamba yenu katika misosi na vitoa upepo?

Ligi yetu kama ni dhaifu Kwa nini mlisema mnamaliza mambo ya CAF kisha mnakuja kuchukua ubingwa wenu,.ilhali hadi sasa team lenu lipo nyuma kwa Points kumi na tatu?

Inafikirisha vp ufungwe na kagera kisha udroo na Mtibwa na kina Coastal wanaoshika mkia,,halaf umfunge Asec? Au ndio hzo 4 4 2 zenu?

Ligi hii dhaifu sawa kwa kuwa hamshindi ubingwa Nyie,,vp na ww sio dhaifu kwa kuongea huku unabana bana pua?

Tuwe na heshma kwa investment iliyowekwa na @azamtvtz na Sponsors wengine,,,leo hakuna team inahangaika na nauli wala mishahara ya Wachezaji,,leo Ligi ya Tanzania hadi anaeshuka daraja atavuta mzigo,,,

Udhaifu ni wenu kwa team lenu ambalo so far inaweza hata kushuka daraja ikipoteza mechi zilizobakia,,

Kisa Yanga anachukua ubingwa ndio ligi dhaifu,,ila mngekuwa mnachukua nyie ligi ingekuwa ngumu sio?

Kwendraaaaaa,,,Bumbaav "

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger