Harmonize Aonesha Plate Namba Yenye JINA la Kajala Aliyolipia Milioni TanoMsanii na Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Harmonize kupitia insta stori yake ameposti picha ya Number ya Gari (Plate Number) iliyoandikwa Jina la Aliyekuwa Mpenzi wake Kajala na kuonyesha kuwa ameilipia Tsh Million 5.


Hata hivyo Harmonize ameeleza kuwa kufanya hivyo sio kiki bali ni juhudi za kumrejesha Mpenzi wake.


______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad