AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwa mujibu wa Jarida kubwa Nchini Egypt(Misr) African Sports limeripoti kuwa Nyota Luis jose Miquisone atatolewa kwa mkopo kuelekea Club yake yazamani Simba Sc kwenye dirisha kubwa lausajili.
Al ahly ipo kwenye mpango wa kufanya mabadiliko kwenye kikosi chao mwakani kwani wao wenyewe wamesema "wanahitaji kuwa na kikosi kitakacho wawezesha kuchukua ubingwa sio wa Africa tu bali wa Dunia"
Source #AfricanSports
.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK