5/14/2022

Mambo Matano ya Wanaume Yanayowaudhi Wanawake

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPA


KUTOJALI HISIA
Mara nyingi wanaume huwa hawajali hisia za wanawake kuliko wanawake ...Umemuumizaa hutaki kusema samahani, unafanya nae mapenzi humuulizi kama ameridhika au lah,,,,, Unasahau siku ya birthday yake😳😳😳😳

UBAHILI ULIOPITILIZA
Wanawake wengi wanapenda kupewa hata kama anacho, Tena ni kutoka kwa Mwanaume

KUTOKUWA ROMANTIC
Kinachifungua hisia za mwanamke ni ukaribu na mwanaume ila kwa mwanaume ni sex. Tabia kumfutia kiti mpenzi wako, kumfungulia mlango nk. Ni kitu wanawake wanapenda sana

KUTOKUWA NA QUALITY TIME
Wengi wanapenda kutoka dinner maybe lunch hatakama hamtakua na cha kuongea ila angalau tu muangaliane, muwe wawili tu

KUENDEKEZA MARAFIKI
Wanawake hawapendi tabia ya kuendekeza marafiki, Humpi priority mpenzi wako ila rafiki zako unawapa. Muda mwingi unakua na marafiki zako kuliko yeye, Husikilizi ushauri wa mpenzi wako ila unasikiliza wa marafiki

By Msumbufu
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger