Ticker

6/recent/ticker-posts

Mrembo Kim Kardashian Apondwa Kwa Kijipunguza Mwili Kisa Onyesho la Usiku Mmoja Met Gala

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>Mwanadada muigizaji kutokea Marekani Lili Pauline Reinhart amemkejeli mwanamitindo Kim Kardashian kuhusiana na kupungua kwa ajili ya onyesho la Met Gala 2022 lililofanyika usiku wa Mei 2,2022.

Kupitia ukurasa wake wa intagram Lili Reinhart aliandika
"Unafaya mahojiano na unatamba kabisa kuwa ulipunguza kula ili upoteze uzito kwa ajili ya onyesho la Met Gala!?? ili upendeze zaidi na gaunilako!??" -Reinhart

Reinhart aliendelea kwa kusema
"Unajua kabisa kuna vijana wengi ambao wanakutazama na unawahamasisha kwa kila unachokifanya alafu unakuja kuwaambia uliacha kula kwa ajili ya onyeshola usiku moja!? inashangaza kweli ujinga umetawala" - Lili Reinhart

Ikumbukwe Kim Kardashian aliliambia jarida la Vogue kuwa ilimpasa kupunguza baadhi ya vyakula ili aweze kupunguza uzito ili aweze kudumisha muonekano mzuri katika onyesho la Met Gala 2022.

Je una maoni gani kuhusu hili!??


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments