Mshindi wa taji la Miss Tanzania Atinga Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mshindi wa taji la Miss Tanzania 2022, @halimakopwe (pichani akiwa amesimama) wakati akitambulishwa, akishuhudia wabunge wakiendelea na kikao cha 32 cha mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti walipotembelea bungeni jijini Dodoma leo.

@halimakopwe ambaye ataiwakilisha nchi katika mashindano ya Miss World, ni Miss wa nne tangu mashindano ya Miss Tanzania yalipoanza kuratibiwa na kampuni ya 'The Look', tangu mwaka 2018.

Mshindi wa mwaka huo alikuwa Queen Elizabeth Makune, mwaka 2019 akawa Sylvia Sebastian na mwaka 2020 alikuwa Rosemary Manfere.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad